Discover
Elia Bennet
6 Episodes
Reverse
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.
Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.
#ONAIRWITHMILLARDAYO #IRENEUWOYA
karibu kwenye Podcast ya kwanza kutoka kwa Millard Ayo akiwa na Gigy Money





