DiscoverFradoFx Podcast
FradoFx Podcast
Claim Ownership

FradoFx Podcast

Author: fradofx

Subscribed: 4Played: 9
Share

Description

Hii ni podcast number 1 Tanzania inayozungumzia biashara ya forex kiundani, BIASHARA ambayo imefichwa kwa watu wachache na mabenki
14 Episodes
Reverse
Je unataka kufaidika kupitia biashara hii kubwa zaidi duniani ?Karibu katika Darasa letu PIGA 0754958520
Indicators ni moja ya vitu ambavyo vinachanganya sana katika forex,katika episode hii tutakupa mbinu sahihi kuhusu indicators
Najua wote tunapenda kutengeza pesa katika forex, lakini changamoto kubwa ni kubadili strategy kila siku, Sikiliza episode hii yote na utajifunza kitu kikubwa sana
Ilinichukua zaidi ya mwaka katika forex kuwithdraw faida ya mara ya kwanza, hii ni kwasababu sikufaham mbinu za kujifunza na kuelewa kwa haraka, Usiwe kama mimi jifunze katika episode hii, WhatsApp 0754958520
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya makosa madogo madogo ambayo yanaweza kukuangusha katika biashara hii , usirudi nyuma tena sikiliza episode hii tena na tena
loading
Comments