DiscoverYesaya Software Podcast
Yesaya Software Podcast
Claim Ownership

Yesaya Software Podcast

Author: Yesaya R. Athuman

Subscribed: 18Played: 61
Share

Description

Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
57 Episodes
Reverse
Kwenye toleo hili, nimeeleza mambo niliyojifunza kwenye Kongamano la Jumuia ya Developers Kusini mwa Jangwa la Sahara lilifanyika Accra, Ghana. Host: Yesaya R. Athuman
GDG Dar es Salaam kwa mara ya kwanza inakuletea #KotlinConf itakayofanyika tarehe 08/06/2024. RSVP Link: https://gdg.community.dev/events/details/google-gdg-dar-es-salaam-presents-gdg-dar-presents-kotlin-conf-global-2024/ Host: Yesaya R. Athuman
In this episode, we had a fantastic discussion about all things related to Sarufi and Neurotech with Kalebu. Tune in to the conversation to learn more. Host: Yesaya R. Athuman
Join the conversation with Yesaya and Anderson to talk about Switching/Sticking to Programming Languages. Host: Yesaya R. Athuman
Kwenye episode hii nimeeleza kwa kina namna ya kuandika ujumbe wa kuomba msaada kwa mtu mwenye followers wengi. Yawezekana ni programmer au mtu mwenye uzoefu kwenye eneo fulani. Host: Yesaya R. Athuman
Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi.Ndugu yangu, sikuwahi kujua event ya developers kuwa na wahudhuliaji zaidi ya 3000, vyombo kuletwa na kontena la 40 futi. Yaani nina mengi kukubadilisha mtazamo lakini nikaelewa ndio maana makampuni makubwa ya TEHAMA duniani yana ofisi Kenya.DevFestDar RSVP: http://zipa.me/devfestdar Be a Speaker: https://sessionize.com/devfest-dar-es-salaam Host: Yesaya R. Athuman
Tunapoelekea kufungua vyuo, nimeona ni vyema kuwapa abc wanafunzi wa mwaka wa kwanza hasa katika kozi za TEHAMA.Nimeweka mambo matatu (3) muhimu ya kuzingatia, unaweza niachia maoni yako kule Twitter @yesayasoftware.Video version unaweza kuipata hapa: https://youtu.be/n0mmLeqDlmc Host: Yesaya R. Athuman
Nitumie Browser Gani?

Nitumie Browser Gani?

2022-04-1620:03

Browser ni software application for retrieving, presenting and traversing information resources on the World Wide Web. Lakini pia inawezesha kucapture au kuinput taarifa ambayo inaweza kurudishwa kwa mfumo unaowasilisha, kisha kuhifadhiwa au kuchakatwa inapohitajika. Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu kugoogle au kutafuta majibu ya changamoto unapokuwa kwenye ujenzi wa mfumo. Je, unajisikia vibaya unapogoogle mambo kwenye mtandao kama programmer unanielewa nikisema Stack Overflow. Lakini je, kugoogle kunakufanya wewe kuwa programmer mbaya?Nitakueleza kwa uzoefu wangu pamoja na programmers mashuhuri kabisa ninaowafahamu ambao pia wameshare uzoefu wao katika hili. Nitakueleza pia kuna time unagoogle na hutapata kitu lakini kuna mtu unamjua ana uzoefu na sala unalohaingaika nalo, nakumbuka usemi wa waswahili, KUULIZA sio Ujinga.  Hii ni Yesaya Software Podcast episode namba 34. Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu usalama wa taarifa za kibenki katika kufanya manunuzi online. Technolojia inabadilika kila leo, vilevile maarifa ya kulaghai watumia wa mitandao yazidi kuto tabirika.Mbinu mpya za udukuzi zinaibuka hivyo ni muhimu kutunza vizuri taarifa zako na kuwa makini na watu unaofanya nao biashara kwenye mtandao.Hii ni Yesaya Software Podcast episode namba 33. Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online sehemu ya pili. Kwenye toleo lilipita nilikueleza maandalizi niliyofanya kabla sijaagizo mzigo. Nilikueleza niliapanga kuagiza mzigo kupitia Amazon na eBay kutokana na maoni mbalimbali niliyopata. Pia njia ya kusafirisha mzigo kupitia MyUs.com na namna nilivyofunga sanduku la posta kiganjani kupitia SmartPosta.Leo tutaendelea nitakupa experience yangu ya manunuzi online kupitia Amazon na eBay kisha kusafirisha mzigo kuja bongo.Hii ni Yesaya Software Podcast episode no 32. Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online. Mid this year niliamua kufanya refresh ya tools ninatumia hapa Yesaya Software (camera, light and mixer) na nilitamani kufanya manunuzi online based on specific models ambazo nilipata recommendations kwa watu wengi online.Ninaweza kusema ni kipindi cha excitement, pressure, maumivu na disappointment.Nitakusimulia uzoefu niliopata na maamuzi niliyofikia endapo nitafikiria kuagiza tena mzigo online. Uzoefu wangu na experience hii ni kwa e-commerce websites mbili kubwa ya Amazon na eBay.Hii ni Yesaya Software Podcast episode no 31. Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo nitakushikisha mambo ninayofanya nikiwa sina access ya Internet - yaani bundle limekata. Kwa kawaida nikiwa na internet na niko nyumbani kama siko na watoto basi muda mingi niko kwenye computer. Sometimes sina mood ya kazi basi hapo ndio ninapoteza muda kwenye magroup na Twitter huko. Ila bundle limekata, ninafanya nini?Nitafurahi kusikia pia kutoka kwako, kuna rafiki yangu mmoja amenijubu, baada ya kummuliza anafanya nini bundle likikata, ameniambia ananunua bundle.  Host: Yesaya R. Athuman
Hey, Mambo vipi,Leo nitakupatia update ya kazi niliyofanya this weekend. Nimekamilisha kurekodi na kupublish video 8 kuhusu Laravel Community Website. Na kubwa tunatengeza website hii pamoja, hakikisha unachek kule GitHub kuweza kushiriki ujenzi na pia kule YouTube kwa video tutorials kuhusu development ya hii website.Lakini kabla hatujasonga mbele ninapenda kuchukua fursa hii kukushukuru sana kwa kuweza nifanikisha kufikia download elfu 5 kwenye Yesaya Software Podcast. It means a lot kwangu na wewe ni modaux mkubwa kwenye hili. Asante.Hii ni Yesaya Software Podcast episode no 29. Host: Yesaya R. Athuman
Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App.  Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native yaani sio specific kwa Android na iOS.Nina imani toleo hili litakuwa msaada pia kwa wadau mbalimbali wa TEHAMA kujua technolojia zinazohusika kutengeneza Mobile Apps.So balbu imewaka na unapata this next great idea for a mobile app ambayo unataka kuitengeneza. Itabadilisha maisha yake, utakupatia pesa sasa what’s the next step you need to take?Jambo la muhimu unalopaswa kuamua mapema kabisa kabla hujaanza kutengeneza application yako. Na hapa ninazungumza from developer point of view.Okay kuna React Native, kuna … Flutter yes yes kuna KMM yaani Kotlin Multi Platform Mobile. Which one ninapaswa itumia? Je, nitaamua kutokana na technolojia ninayoifahamu au nitaassess features muhimu kwa app yangu kisha niwe guidance Framework ili itakuwa sahihi kwa use case yangu.Hilo ninaachia wewe sasa, huu ndio uamuzi wangu kuhusu hili kwa nini nimechagua KMM over other technology. But seriously hii inadepend ya use case yako na how quickly you want to address the problem. Anyways tuangalie kuna nini kwenye KMM, pia nitasubiri maoni yako. Host: Yesaya R. Athuman
Ukweli na Elimu kuhusu YouTube Monetisation Host: Yesaya R. Athuman
Leo kwenye Twitter Spaces na Yesaya Software tumejadili kuhusu uhusiano wa Mentor na Mentee. Tulijadili mambo mengi ikiwa na kuangalia sababu za kwa nini utahiji mentor.Increased knowledgeConstructive criticismPersonal growthWords of encouragementFirm boundariesUnbiased opinionsTrusted allyGoal-settingNew perspectiveNetworking connections Host: Yesaya R. Athuman
Historia kidogoZaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuuHii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu   kwa miaka michacheSasa huduma zimebadilika utasikia manen mengi Software as a Service Hardware as a Service Na hizo subscriptionLengo ni kupunguza gharama za mwanzo na kufanya gharama kuwa  nafuu lakini utalipa kila mwezi which posses a riskUtajikuta sasa kila mwisho wa mwezi una lundo la mambo ya kulipia,   bado hujalipa bill za maji na umeme.Kama hutokuwa mwangalifu unaweza kujikuta umekatwa pesa kwa  subscription zisizo za msingi. Host: Yesaya R. Athuman
Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia  changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka, Justin, Kalebu na Alpha.Unaweza kusikiliza sasa na nina imani kuna jambo utajifunza. Host: Yesaya R. Athuman
Kwenye toleo hili ni sehemu ya majadiliano kwenye Twitter Spaces na nilijadili na wadau niweke content ya aina gani kwenye mtandao ili niweze kupata traffic.Pia tulizungumza mambo ya kuzingatia kwenye kufanya option ya Voice chat (Twitter Spaces na Clubhouse), Livestream na Podcast. Ungana nasi sasa kusikiliza toleo hili na usiache kuingia pale Twtter @yesayasoftware Host: Yesaya R. Athuman
loading
Comments (1)

Richard Holder

hello i am newhere [new](https://castbox.fm/channel/)

Apr 11th
Reply
loading