DiscoverMuziki Ijumaa
Muziki Ijumaa
Claim Ownership

Muziki Ijumaa

Author: RFI Kiswahili

Subscribed: 47Played: 3,550
Share

Description

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

105 Episodes
Reverse
Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla. Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.
Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali 
Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026,  Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali
Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali 
Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow  @billy bilali
loading
Comments