DiscoverHabari RFI-Ki
Habari RFI-Ki
Claim Ownership

Habari RFI-Ki

Author: RFI Kiswahili

Subscribed: 2Played: 10
Share

Description

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

390 Episodes
Reverse
Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.
Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake
Kila Ijumaa una nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya makala Habari Rafiki, kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Juma hili haya ni baadhi ya maoni yako.
Kenya imetangaza kusitisha mpango wa kutuma polisi wake 1000 nchini Haiti baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Ariel Henry. Hata hivyo, inasema mpango huo utaendelea baada ya kupatikana kwa serikali mpya.Unazungumzia vipi uamuzi huu wa Kenya ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa. Serikali zetu zifanye nini kupunguza mfumko wa bei za bidhaa? skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako
loading
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store