DiscoverEbenezer Revival International Ministry
Ebenezer Revival International Ministry
Claim Ownership

Ebenezer Revival International Ministry

Author: Ebenezer Revival International Ministry

Subscribed: 0Played: 2
Share

Description

Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

42 Episodes
Reverse
Jifunze aina tofauti za sadaka na nguvu iliyo ndani yake unapotoa kwa utii na imani. Ujumbe huu utakusaidia kuelewa namna sadaka inavyofungua baraka, ulinzi na upenyo wa kiroho.
Endelea na sehemu ya pili ya mafundisho haya ya kina kuhusu mbingu zilizo wazi. Pokea ufunuo, nguvu na mabadiliko ya kiroho kwa ajili ya msimu wako mpya.
Jifunze msingi wa namna mbingu juu ya maisha yako zinafunguka na jinsi ya kuingia katika upenyo wa Mungu. Ujumbe huu utakusaidia kutembea katika kibali kipya.
Nabii Analyce anafundisha jinsi kutendea kazi Neno la Mungu kunavyoleta mabadiliko ya kweli, baraka, na ukuaji wa kiroho. Sikiliza ujifunze mbinu za kulitumia katika maisha yako ya kila siku na ugundue nguvu ya utii wa kiroho.
Leo tunachunguza nguvu ya ahadi inayosema, “Hata nikijikwaa, bado nitasimama tena.” Nabii Analyce anatufundisha jinsi imani yetu inaweza kutuimarisha tunapobitia majaribu na magumu. Tutajifunza kuwa mchakato wa kuanguka si mwisho wa safari, bali fursa ya kukua, kujifunza, na kugundua upya kusudi letu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
.2 Wafalme 2 : 1 - 18Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.” Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kwa maana sisi ni matokeo ya kazi ya Mungu tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tuwe na matendo mema ambayo Mungu alikwisha andaa, tuishi katika hayo. (Waefeso 2:10) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa. (1 Petro 2:2) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Ukweli ni kwamba, wazazi ni watu wa muhimu sana kwako bila kujali hali zao za kiroho. Wana upekee fulani katika maisha yako. Kwa maana kupitia wao,wewe ulizaliwa. Upekee huu ni kuhusu “baraka” ambazo Mungu ameruhusu kuziweka kwa wazazi wako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Waheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Isaya 6 :1"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha EnziKilicho juu Sana na kuinuliwa SanaKUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
"Na lo lote mtakaloomba katika sala, mtapewa, kama mna imani.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu. Tito 2:11-12 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!"- Zaburi 65:11-13 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Yohana 3:5"Yesu akamjibu, "Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu."  Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kama tunavyojua, Manase alikuwa mfalme mbaya sana wa Yuda, lakini alipotubu dhambi zake na kumwomba Mungu msamaha, Mungu alimrejesha kwa neema yake. Kwa hivyo, tunaweza kusema kwamba Manase ni muujiza mkubwa ambao unaweza kusuluhisha shida zetu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
"Mambo Unayopaswa Kufanya Ukiwa Kwenye Wakati Mgumu" ni mambo ambayo unapaswa kufanya wakati unapitia kipindi kigumu au changamoto maishani. Katika mahubiri haya, utajifunza kuhusu umuhimu wa kumtegemea Mungu, kuwa na imani na subira, kutafuta msaada wa watu wengine, kuwa na mtazamo chanya na kujikumbusha kwamba changamoto hizo sio za kudumu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
loading
Comments