DiscoverOverriding Zumbe
Overriding Zumbe
Claim Ownership

Overriding Zumbe

Author: Ahmad Ten'dii

Subscribed: 0Played: 0
Share

Description

Mawazo yenye Uongozi kwa Rohosafi kutoka kwa Ahmad katika upeo wa hali ya juu. Upeo wa Mabadiliko. Lengo kuu ni kukukaribisha kati utawala na Ufalme wa Kiroho na Kimwili wa Zumbe Ahmad
2 Episodes
Reverse
Tuwaozeshe watoto wetu baada ya baleghe. Waoe mabikira. Tuache kuunda jamii ya Watu ambao kiuchumi wako vizuri lakini kimapenzi wamevunjika moyo. Tufunge mlango wa kutengeneza malaya, Mashoga na Matapeli ndani ya Jamii. Tuinusuru jamii yetu.
Ahmad "Wakuabudiwa"

Ahmad "Wakuabudiwa"

2021-08-2014:10

Najizungumzia mimi na Karama kubwa niliyojikusanyia na Dhamira yangu ya Kuisambaza
Comments