DiscoverEleven Digital The Podcast
Eleven Digital The Podcast

Eleven Digital The Podcast

Author: Leonce Godfrey

Subscribed: 0Played: 1
Share

Description

Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies.

This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
24 Episodes
Reverse
Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Katika Episode hi ya Kwanza tumewaletea Akili bandia Tano ambazo ni muhimu Kwa wafanyabiashara, wanafunzi na watu wa kawaida kuzifahamu na kuzitumia kwani zinarahisisha kazi mbalimbali za mwanadamu. Produced and Hosted By Owen Bariki.
Katika episode hii, Neema Loth ametueleza kwa undani vile unyanyasaji wa kimtandao unavyokuwa na kufanyika katika majukwaa mbalimbali ya kidigitali Tanzania.
Katika kipindi cha karibuni, kumekuwa na kampeni za uhakiki wa laini na namba za simu ili kuthibiti uhalifu unaofanyika kwa kutumia namba hizo mtandaoni. Je, lengo limefikiwa? Na haya ni maoni ya wananchi kuhusu usajili wa laini za simu na namba zake.
Teknolojia inabadilika haraka sana. Mambo ya jana sio ya leo, kila siku vitu vinabadilika. Hivyo katika episode hii tumekukuletea sababu za kiusalama kwanini unatakiwa Updates vifaa na apps zako kila wakati ili ubakie salama mtandaoni.
Katika episode hii, tumepima vile wananchi wana uelewa juu ya sheria ya makosa ya mtandao iliyotungwa na kupitishwa mwaka 2015. Chukua muda wako na sikiliza maoni na uelewa wa wananchi wa Tanzania juu ya sheria hii
Elimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni.
Watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa au kurasa zao za mitandao ya kijamii kudukuliwa, katika episode hii tumekuletea njia salama za kuweka katika majukwaa yako ya kidigitali ili uweze kujilinda dhidi ya wadukuzi na waarifu wa mtandaoni.
Watu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama.
Je unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;
Katika ulimwengu wa kidigitali kuna browsers nyingi sana ambazo zinakupa uwezo wa kuingia kwenye majukwaa mbalimbali ya Internet. Katika episode hii, tumekuletea baadhi tu ya browsers salama na nzuri kutumia kwenye simu na laptop zako bila kusahau Tips mbalimbali zinazoweza kukufanya uwe salama katika majukwaa ya mtandao.
Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti. Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Hivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho. Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua? Haya ni makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
loading
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store