Discover
Swahili Dishes Podcast
Swahili Dishes Podcast
Author: Swahili Dishes Podcast
Subscribed: 27Played: 174Subscribe
Share
© Swahili Dishes Podcast
Description
This podcast hosted by Faiza & Mkamburi is purely in Swahili language and focuses on breaking stereotypes about the Kenyan coastal community and culture through entertaining conversations.
84 Episodes
Reverse
Tunaangalia njia tofauti unaweza kujiaibisha ukiwa kwenye date!
Mapenzi yana changamoto lakini mwanamke akiamua kughosti jua kuna issue muhimu ya kuzingatia.
Jumuika nasi tukisoma DMs zetu, nani atakayebahatika na mapenzi ya dhati?
Kulingana na mila na desturi kuna vitu amabavyo havikubaliwi. Ungana nasi kwenye QnA ya kusisimua akili na mbavu!
QnA session
QnA
Tafuta karatasi na kalamu, darasa limeanza!
Jumuika nasi kwenye mchezo wa maswali na majibu.
Saa nyingine hasira ni hasara.
Kuna vitabia mtu hufanya katika mahusiano amayo yanafanya ujiulize kama akili iko sawa ama ni jinamizi.
Je unajua kuna takwimu zinazoelezea kuwa wanawake huwa na mbinu bora za kucheati?
Jumuika nasi tunapotoa mifano ya vitu amabavyo wanaume hufanya baada ya mechi yanayotuudhi.
Hadithi njoo uwongo njoo! Mkamburi anatusimulia masaibu yake ya mpenzi wake wa zamani.
Kipindi hiki kinahusu vitu tofauti unayofaa kujua kuhusu uke wa mwanamke.
Tujumuike kwenye mchezo huu wa kuchekesha tunapoulizana maswali tofauti kuhusu mahusiano.
Gumzo linaendelea… Warembo wa Bara inasemekana ni wapambanaji lakini hawana heshima kama wapwani
Wiki hii tunazungumzia penzi baina ya wabara na wapwani. Hili penzi hua ni la kudumu ama ni kudanganyana tu???
Wooyooooo! Leo kwenye mkahawa tuna toa tips kemkem kwa ma side chick ama michepuko
Hata Kama wampenda mumeo kiasi gani na waumia huna raha, ni wakati uangalie kama kuvumilia kutakuweka kwenye shida na kuhatarisha maisha yako.
Wooyooooo! Ukijua shemeji yako ama mume/ boyfriend wa swahiba lako anamcheat utamwambia ama utanyamazia?




