Ulimwenguwaufeminine. Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk.
Subscribed: 2Played: 1
Subscribe
© Hefsiba 👸
Description
Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine,
Sehemu sahihi kwa mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha, yupo tayari kujifunza zaidi kuhusu Ulimwengu wa kike ili kunufaika kwa kuwa mwanamke ili usitumike bure.
Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye
mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology , wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft.
Welcome home QUEEN!

1Â Episodes
Reverse
CommentsÂ