Sheikh Zuberi Nkwabi amezungumzia namna ya wanaume kuwa viongozi kwa wanawake
Katika episode hii Dr. Mbwarali Kame amejaribu kuzungumzia maadili ya mtoto
Sheikh Shahiid Muhammad kutoka Jijini Mwanza Muhadhiri na Mwanaharakati Maarufu alituelezea haswa nini kifanyike kwa Muislamu ili Kulinda wakati.
Tumekutana na Inspekta M.K.MAKORA kujadili Ukatili wa kijinsi namna ulivyokithiri katika Jamii ya Kitanzania
Tulikuwa na Sheikh Hassan Muhammadayn tukijadili Amani kwa Mujibu wa Qur`an na Sunnah
Kipindi hiki kinaelezea namna ambayo waalimu na wanafunzi wanaweza kufanya ili kufikia lengo la kukiendeleza vema kitabu cha Allah Subhaanah ambacho ni Qur`an Tukufu.
E15 NCHA KALI PODCAST |SI KILA MWANAMKE ALIYEACHIKA KUWA SI MKE | SHEIKH NURDEEN KISHKI
Ep14 NCHAKALI | YANAYOWASUMBUA WANAWAKE WENGI KATIKA NDOA | MWALIMU DIMOSO| PODCAST
Ep 13 NCHA KALI | LISHE | BROTHER JUMA KILAGHAI | PODCAST #chakula #wali #sambusa #bongo
Ep 12 NCHA KALI | MIHEMKO KATIKA JAMII | SHEIKH SALIM QAHTWAN | PODCAST #NchaKali #ADPlusSwahili|Podcast #IslamicChannel
E11 NCHA KALI | KUKITHIRI KWA SHIRKI | SH MOHAMMED NDULI | PODCAST
ni kipindi kinachoelezea namna ambavyo muislam anatakiwa kuamiliana na wanaadamu wenzake 00:00-01:17 Clip ya utangulizi 01:18-04;55 Ufunguzi 04:55-06:07 Jamii inaudhaifu kiasi ganikwenye suala la kuamiliana 06:08-13:20 Makosa yanayofanyika katika kuamiliana na watu 13:22-19:45 Kinachopelekea baadhi ya maduati kuwa na miamala mibovu 19:46-27:03 Miamala ya ndoa 27:07-37:50 Sifa za miamala mizuri 37:51-41:27 Mifano ya makosa ya kuamiliana 41:30-46:10 Nasaha kwa viongozi na miamala 46:15-52:00 Namna ya kuamiliana na wasio waislam 52:01-56:28 Namna ya kuamiliana na mshindani wa biashara 56:30-59:26 Nasaha kwa umma 59:27-01:00:51 kufunga mwisho
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @ 00:01-01:15 Clip ya utangulizi 01:18-04:21 Ufunguzi 04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi 06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada 15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje 24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo 27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili 35:30-44:41 Malezi na baada ya kutendewa mema 50:00-53:40 Kwa nini wengi tunamtazamo tukifanya wema tunataraji malipo 54:00-57:42 Nasaha kwa umma 57:50-01:00:03 Mwisho
Kipindi kinachoelezea kuhusu sifa za mwanaume anaestahili kuoa mke zaidi ya mmoja
ni kipindi kinachozungumzia umuhimu wa lugha ya kiarabu kwa muislam na nafasi ya lugha hiyo katika dini adhim ya uislam
Ni kipindi kichozungumzia kutokushughulika na aibu za watu na nini uislam umetufundisha katika jambo hili
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vipi ajipambe na kujipambanua kama muislam SH SHAMSI ELMI
Ni kipindi kuhusu migogoro ya mirathi na jinsi ilivyoenea katika jamii za kiislam huku zikielezwa sababu za migogoro hiyo na mbinu za kuepuka
Athari inayopatikana kwa kumfuata Mtume S.AW
S01 NACH KALI | E01 CHANGAMOTO ZA ULINGANIAJE | PODCAST