DescubrirADPlusSwahili | Podcast
ADPlusSwahili | Podcast
Claim Ownership

ADPlusSwahili | Podcast

Autor: ADPlus Swahili

Suscrito: 4Reproducido: 25
compartir

Descripción

ADPlus Swahili
22 Episodes
Reverse
Sheikh Zuberi Nkwabi amezungumzia namna ya wanaume kuwa viongozi kwa wanawake
Katika episode hii Dr. Mbwarali Kame amejaribu kuzungumzia maadili ya mtoto
Sheikh Shahiid Muhammad kutoka Jijini Mwanza Muhadhiri na Mwanaharakati Maarufu alituelezea haswa nini kifanyike kwa Muislamu ili Kulinda wakati.
Tumekutana na Inspekta M.K.MAKORA kujadili Ukatili wa kijinsi namna ulivyokithiri katika Jamii ya Kitanzania
Tulikuwa na Sheikh Hassan Muhammadayn tukijadili Amani kwa Mujibu wa Qur`an na Sunnah
Kipindi hiki kinaelezea namna ambayo waalimu na wanafunzi wanaweza kufanya ili kufikia lengo la kukiendeleza vema kitabu cha Allah Subhaanah ambacho ni Qur`an Tukufu.
E15 NCHA KALI PODCAST |SI KILA MWANAMKE ALIYEACHIKA KUWA SI MKE | SHEIKH NURDEEN KISHKI
Ep14 NCHAKALI | YANAYOWASUMBUA WANAWAKE WENGI KATIKA NDOA | MWALIMU DIMOSO| PODCAST
Ep 13 NCHA KALI | LISHE | BROTHER JUMA KILAGHAI | PODCAST #chakula #wali #sambusa #bongo
Ep 12 NCHA KALI | MIHEMKO KATIKA JAMII | SHEIKH SALIM QAHTWAN | PODCAST #NchaKali #ADPlusSwahili|Podcast #IslamicChannel
E11 NCHA KALI | KUKITHIRI KWA SHIRKI | SH MOHAMMED NDULI | PODCAST
ni kipindi kinachoelezea namna ambavyo muislam anatakiwa kuamiliana na wanaadamu wenzake  00:00-01:17 Clip ya utangulizi  01:18-04;55 Ufunguzi  04:55-06:07 Jamii inaudhaifu kiasi ganikwenye suala la kuamiliana   06:08-13:20 Makosa yanayofanyika katika kuamiliana na watu  13:22-19:45 Kinachopelekea baadhi ya maduati kuwa na miamala mibovu  19:46-27:03 Miamala ya ndoa  27:07-37:50 Sifa za miamala mizuri  37:51-41:27 Mifano ya makosa ya kuamiliana  41:30-46:10 Nasaha kwa viongozi na miamala  46:15-52:00 Namna ya kuamiliana na wasio waislam  52:01-56:28 Namna ya kuamiliana na mshindani wa biashara  56:30-59:26 Nasaha kwa umma  59:27-01:00:51 kufunga mwisho
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vyakuzingatia kabla na baada ya kutenda wema SH RAMADHAN QAHTAN @    00:01-01:15 Clip ya utangulizi  01:18-04:21 Ufunguzi  04:21-06:58 Ufafanuzi wa anuani ya kipindi  06:58-14:53 Nini uzingatie ukifanya wema kama ibada  15:00-24:22 Kuonyesha wema katika mitandao ya kijamii limekaaje   24:25-27:25 Kufanya wema kwa kutaraji malipo  27:30-35:30 Je anaetendewa wema anatakiwa achukulie vipi jambo hili  35:30-44:41 Malezi na baada ya kutendewa mema  50:00-53:40 Kwa nini wengi tunamtazamo tukifanya wema tunataraji malipo  54:00-57:42 Nasaha kwa umma   57:50-01:00:03 Mwisho
Kipindi kinachoelezea kuhusu sifa za mwanaume anaestahili kuoa mke zaidi ya mmoja
ni kipindi kinachozungumzia umuhimu wa lugha ya kiarabu kwa muislam na nafasi ya lugha hiyo katika dini adhim ya uislam
Ni kipindi kichozungumzia kutokushughulika na aibu za watu na nini uislam umetufundisha katika jambo hili
Ni kipindi kilicholenga kumfikirisha mfuatiliaji juu ya vipi ajipambe na kujipambanua kama muislam SH SHAMSI ELMI 
Ni kipindi kuhusu migogoro ya mirathi na jinsi ilivyoenea katika jamii za kiislam huku zikielezwa sababu za migogoro hiyo na mbinu za kuepuka
Athari inayopatikana kwa kumfuata Mtume S.AW
S01 NACH KALI | E01 CHANGAMOTO ZA ULINGANIAJE | PODCAST
loading
Comentarios 
loading