• Mada hii inazunguzia Sunna Adabu za chakula na tofauti zao katika kupata rizki na hukumu za bismilahi katika kula.<br />
• Mada hii inazunguzia Adabu za kula na hukumu ya kudhihirisha bismilahi,na hukumu ya kuacha bismilahi.<br />
• Mada hii inazunguzia Adabu za kula chakula na hukumu ya kulamba chakula na ubora wake.<br />
• Mada hii inazunguzia Adabu za chakula,makatazo zakula chakula cha moto,na kupuliza chakula,nakukitia aibu chakula,nakula kwa mkono wa kulia.