Elikunda Materu

Ikiwa mtu hawezi kutambua kwa usahihi makosa yake mwenyewe ana kasoro hatari zaidi kuliko zote,ukosefu wa kujitambua ni hatari sana katika maisha.

Pombe haramu inavyoharibu vijana Vijijini

Siku za hivi karibuni kumeibuka na wimbi la vijana wengi wanaopoteza ndoto zao na mwelekeo kutokana na ongezeko la matumizi ya pombe haramu.

01-29
06:16

Tetesi za Usajili Ulaya

Nyundo za Habari/Tetesi za Usajili tunaangazia zaidi yaliyojiri barani Ulaya katika michezo

01-15
06:33

Nyundo Za Habari

Mastori mbalimbali kitaifa na kimataifa Kila siku yaja kivyake si vibaya kuonja usichowahi kula

01-13
09:49

Materuni Waterfall

Maporomoko ya Maji yanayopatikana katika kijiji cha Materuni. Maarufu “Materuniwaterfall” au Mnambe Yana Urefu wa zaidi ya Mita 90.

01-09
13:07

Kinda Materuni

Safari ilipoanzia ni materuni

01-07
11:29

Kinda la Materuni

Safari ya utangazaji ilianzia katika kijiji cha Materuni huko Moshi V mkoani Kilimanjaro.

01-07
08:31

Njia nyembamba na pana ya Elikunda Materu

Most of my story will inspire the youth and other professionals to understand ways to move foward no matter what they face throughout the journey of achievement.

01-07
03:15

Recommend Channels