Endelelea kusikiliza namna ambavyo Eminen na jamaa wengine waluokuwa chini ya record lebel ya shady records walivyoingizwa kwenye beef ambapo baadae ikageuka vita ya record lebel mbili shady records Vs Murder inc
Huu ndio mwanzo wa beef isiyoisha toka kwa hip hop rapper wenye nguvu duniani zaidi
Kuhusu kuongezwa kwa muhula wa urais tanzania toka miaka 5 mpka 7
msikilize mbunge wa jimbo la ubungo saed kubenea akifafanua taarifa za yeye kutaka kuondoka chadema
wimbo huu ni mpya kutoka kwa diamond na ujumbe wake dhahiri shahir unakwenda kwa hamisa mobeto