DiscoverSauti ya Richstar
Sauti ya Richstar
Claim Ownership

Sauti ya Richstar

Author: Richard Maguluko

Subscribed: 0Played: 0
Share

Description

A podcast hosted by Richard Maguluko also known as Rcihstar, a Young Creative Entrepreneur, Digital Tutor. Who Educates and Motivates Young Creative People and to Stand Up for The Future of Creativity. The Podcast show is about empowering and educating creatives to take control of their lives and their careers!.
3 Episodes
Reverse
Kuna Siku ulizuka Mjadala katika moja la group la waddau wa  Graphics design Tanzania kuhusiana na Sababu za kuwa na Uchache sana wa Graphics designer wanawake Tanzania?. Nikaona nimtafute mmoja wa mdada anaefanya Graphics design. Akaelezea kwa mantiki mbili ambazo ni Changamoto  Tabia ama Hulka Je una Maoni tofauti na haya basi usisite kuandika hapa ili na wengine wajifunze na kufahamu zaidi
Katika Kipindi hiki nimezungumzia vitu ambavyo Unaweza ukavifanya ukiwa Graphics designer, Photographer, videographer anaeanza katika fani hizi. Ni changamoto kubwa sana hasa tunapoanza kwa maana tunahitaji support kubwa ya kiuchumi ili ituwezeshe kutimiza malengo yetu kwa wakati muafaka, hivyo ni vyema kuwa na vyanzo tofauti tofauti vya mapato.
Katika Audio hii nimetoa ushauri ni vitu gani unaweza ukavifanya ili uweze kujifunza Graphics design pasipo kwenda Shule/Chuo/Collage. Suala hili limekuja baada ya Swali la Kaka umesomea chuo gani maswala haya ya Graphics Design?. Endapo Utaisikiliza Audio hii mpaka mwisho basi utakuwa Umepata mwanga na uelekeo wa wewe sehemu za kupitia ili uweze kufanikiwa zaidi katika wanda huu wa Graphics Design
Comments