Mapenzi yana changamoto lakini mwanamke akiamua kughosti jua kuna issue muhimu ya kuzingatia.
Jumuika nasi tukisoma DMs zetu, nani atakayebahatika na mapenzi ya dhati?
Kulingana na mila na desturi kuna vitu amabavyo havikubaliwi. Ungana nasi kwenye QnA ya kusisimua akili na mbavu!
Kuna vitabia mtu hufanya katika mahusiano amayo yanafanya ujiulize kama akili iko sawa ama ni jinamizi.
Je unajua kuna takwimu zinazoelezea kuwa wanawake huwa na mbinu bora za kucheati?
Jumuika nasi tunapotoa mifano ya vitu amabavyo wanaume hufanya baada ya mechi yanayotuudhi.
Hadithi njoo uwongo njoo! Mkamburi anatusimulia masaibu yake ya mpenzi wake wa zamani.
Kipindi hiki kinahusu vitu tofauti unayofaa kujua kuhusu uke wa mwanamke.
Tujumuike kwenye mchezo huu wa kuchekesha tunapoulizana maswali tofauti kuhusu mahusiano.
Gumzo linaendelea… Warembo wa Bara inasemekana ni wapambanaji lakini hawana heshima kama wapwani
Wiki hii tunazungumzia penzi baina ya wabara na wapwani. Hili penzi hua ni la kudumu ama ni kudanganyana tu???
Wooyooooo! Leo kwenye mkahawa tuna toa tips kemkem kwa ma side chick ama michepuko
Hata Kama wampenda mumeo kiasi gani na waumia huna raha, ni wakati uangalie kama kuvumilia kutakuweka kwenye shida na kuhatarisha maisha yako.
Wooyooooo! Ukijua shemeji yako ama mume/ boyfriend wa swahiba lako anamcheat utamwambia ama utanyamazia?