VOA Express - Voice of America

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.  

Shambulio jingine la risasi katika shule ya msingi ya binafsi nchini Marekani limesababisha vifo na majeruhi kadhaa. - Desemba 17, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-17
29:59

Mtaalamu wa afya Theophil Wangata anaelezea namna jamii inavyopaswa kuzingatia vyakula wanavyokula kila siku hususan wakati wa sikukuu. - Desemba 16, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-16
29:59

Vijana takribani 30,000 katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania hawataki kutafuta kazi wala masomo, je hali hii inaashiria nini katika jamii? - Desemba 13, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-13
29:59

Museveni awataka vijana Uganda waache ushabiki wa soka wa timu za nje - Desemba 11, 2024

Musseveni awataka vijana Uganda waache ushabiki wa soka wa timu za nje

12-11
29:59

Usawa wa kijinsia, Akili Mnemba na usalama ni miongoni mwa masuala yaliyojadiliwa katika kongamano la wanawake katika Media nchini Senegal. - Desemba 10, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-10
29:59

Wanaharakati wataka vijana wepewe nafasi ya kupambana na rushwa - Desemba 09, 2024

Wanaharakati wataka vijana wepewe nafasi ya kupambana na rushwa

12-09
29:59

Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi - Desemba 06, 2024

Vijana Uganda washauriwa kutumia simu za mkononi kupambana na ufisadi

12-06
29:59

Vijana wa Afrika mashariki wanaeleza namna wanavyotumia rasilimali ya udongo katika kuleta maendeleo kwa jamii wanazoishi. - Desemba 05, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-05
29:59

Dunia inaadhimisha siku ya walemavu huku walezi au wazazi wanaowahudumia walemavu wanaeleza changamoto zilizopo katika maisha ya kila siku. - Desemba 03, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-03
29:59

Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24. - Desemba 02, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

12-02
30:00

Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

11-26
30:00

Mwanaharakati wa wanawake wa shirika la Open Talk la Kenya anaelezea elimu wanayotoa kusitisha visa vya ukatili kwa wanawake na wasichana - Novemba 25, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

11-25
29:59

Vijana katika COP29 nchini Azerbaijan wanasema wanataka siti na ushirikishwaji wa moja kwa moja wa majadiliano ya mabadiliko ya tabia nchi. - Novemba 22, 2024

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

11-22
29:58

VOA Express - Novemba 21, 2024

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

11-21
29:59

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao - Novemba 20, 2024

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao

11-20
29:59

Recommend Channels