DiscoverIfahamu Corona - Anatomy of Corona
Ifahamu Corona - Anatomy of Corona
Claim Ownership

Ifahamu Corona - Anatomy of Corona

Author: Suomen Podcastmedia

Subscribed: 0Played: 0
Share

Description

Ifahamu Corona - Anatomy of Corona tells the facts about the coronavirus.

The series of programmes is produced by Vikes – Finnish Foundation for Media and
Development, Tanzania Development Information Organization (TADIO), Finnish
Evangelical Lutheran Mission (Felm) and the Ministry of Health of Tanzania.

Original concept: Antti Merilehto.
4 Episodes
Reverse
Kwenye kipindi cha nne cha Ifahamu Corona tutasikia matarajio ya wataalmu juu ya athari za virusi vya corona kwa jamii. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr.i Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu hali ya corona duniani na tunatakiwa tufanye nini sasa hivi.In the fourth episode of Anatomy of Corona, we will hear expert forecasts about how the coronavirus will affect societies. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the current global situation regarding the coronavirus and what all of us should do right now.
Kwenye kipindi cha tatu cha Ifahamu Corona tutasikia kundi gani lipo hatarini zaidi kupata virusi vya corona na kuhusu karantini. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu magonjwa ambao yanaweza kukuweka kwenye hatari ya kuambukizwa na inachukua muda gani kupona ukiathirika na virusi vya corona.In the third episode of Anatomy of Corona, we will hear about coronavirus risk groups and quarantine. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health Tanzania will answer questions about which groups are prone to infectious diseases such as the coronavirus and how long does it take to heal from the coronavirus.
Kwenye kipindi cha pili cha Ifahamu Corona tutasikia zaidi kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu kusambaa kwa virusi vya corona na jinsi ya kujikinga navyo.In the second episode of Anatomy of Corona, MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the spread of the virus and how to prevent it.
Kwenye kipindi cha kwanza cha Ifahamu Corona tutasikia ukweli kuhusu virusi vya corona. Daktari, PhD na Profesa wa bakteriolojia Pentti Huovinen kutoka Chuo Kikuu cha Turku, Ufini na Dr. Rogart Kishimba kutoka Idara ya epidemiolojia na ufuatiliaji wa magonjwa, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto watajibu maswali kuhusu chanzo cha virusi vya corona, mwenendo wake na kujibu kwa mfano swali hili kubwa: Haya maradhi yataisha lini?In the first episode of Anatomy of Corona, we will hear facts about the coronavirus. MD, PhD and Professor of Bacteriology Pentti Huovinen from the University of Turku, Finland, and Dr Rogart Kishimba from the Department of Epidemiology at the Ministry of Health of Tanzania will answer questions about the birth of the virus, its behaviour and the big question: How long will the pandemic last?
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store