DiscoverBeacon Finance
Beacon Finance
Claim Ownership

Beacon Finance

Author: Beacon Financials Limited

Subscribed: 0Played: 0
Share

Description

Tunakuletea uchambuzi wa soko la hisa kwa wiki nzima pamoja na kutoa elimu ya uwekezaji wa mda mrefu (long-term investing or value investing) na uwekezaji wa mda mfupi (speculation). Tutakuwa tukichambua taarifa za kifedha za makampuni yaliyopo kwenye soko la hisa la Dar-es-Salaam.
2 Episodes
Reverse
Meet you host

Meet you host

2020-10-1500:40

Uchambuzi wa uwekezaji unaletwa kwenu nami Brian Chuwa, mchambuzi na mshauri wa uwekezaji. Nilithibitishwa na mamlaka ya masoko ya mitaji Tanzania tarehe ishirini na nane, mwezi wa pili mwaka 2018.Nikishirikiana na mwenzangu Jesca Marunda, tutakuwa tukichambua yanayojiri kwenye soko la hisa pamoja na kukupatia elimu ya uwekezaji wa mda mrefu na wa mda mfupi.
Introduction

Introduction

2020-10-1502:02

Beacon Finance tunaamini uwekezaji kwenye soko la mitaji, ikiwemo soko la hisa, sio jambo gumu, linafundishika na kueleweka kwa urahisi bila kujali kiwango cha elimu ulichonacho. Kwa kulitambua hilo, tumekuandalia vipindi viwili vya sauti, yaani podcast, vitakavyokuwa vikikujia kila mwisho wa wiki.Pakua application ya Beacon Finance ili kujifunza zaidi.
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store