DiscoverTeknokona - Kona ya Teknolojia
Teknokona - Kona ya Teknolojia
Claim Ownership

Teknokona - Kona ya Teknolojia

Author: Comrade Mokiwa

Subscribed: 0Played: 0
Share

Description

Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.

@Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD.
2 Episodes
Reverse
Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusuMabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPadApple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji appsTukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjoUsisahau kuungana nasi kupitia:www.twitter.com/teknokonawww.instagram.com/teknokonawww.facebook.com/teknokonawww.instagram.com/techmsaadawww.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
Katika toleo la kwanza la Podcast kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu habari na vitu vipya vinavyohusu teknolojia za AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework. Fahamu zaidi kuhusu ChatGPT (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/2AuD4Qy-Jh0 Fahamu historia ya Boston Dynamics (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/9TDFOelZN9c Laptop za Framework - Framework | Framework Laptop 16 pre-orders are now open Usisahau kuungana nasi kupitia: www.twitter.com/teknokonawww.instagram.com/teknokonawww.facebook.com/teknokonawww.instagram.com/techmsaadawww.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili. www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store