𝐉𝐢𝐧𝐬𝐢 𝐘𝐚 𝐊𝐮𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐛𝐮
Update: 2023-05-21
Description
Uandishi wa kitabu ni kama safari. Ni safari inayohitaji uvumilivu, ustahimilivu, umakini na nia thabiti ya lengo lililokusudiwa ambalo ni kuandika kitabu.
Kila mtu ana ndoto ya kuandika kitabu chake au vitabu lakini hajui aanze vipi, nimekuwekea hatua 10 ambazo ni mwanga utakao kumulikia njia ya kuitumia kutembea hadi kufikia ndoto yako ya kuwa na kitabu ulichokiandika wewe mwenyewe.

Comments
In Channel