Yaleli Kipenzi (The Last Song for My Beloved)
Update: 2021-03-01
Description
Yaleli kipenzi, fuadini mwangu, ulojifungia
Ukajihifadhi, jua na mawingu, yangakunyeshea
Japo umeridhi, wito wake Mungu, kuuitikia -
Mbona mtimani
Ungalimo ndani?
Hukunifundisha, kukufungulia, nikuache wende?
Comments