DiscoverIkulu Tanzania
Ikulu Tanzania
Claim Ownership

Ikulu Tanzania

Author: Ikulu Mawasiliano

Subscribed: 39Played: 75
Share

Description

This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
60 Episodes
Reverse
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uwekaji saini wa Miradi ya maji miji 28, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini.
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea kiwanda cha sukari cha Kagera Sugar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa Kyaka Bunazi, mkoani Kagera
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tarehe 19 Juni, 2022 Katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 (Silver Jubilee) ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa  kwa kipande cha nne Tabora - Isaka  tarehe 04 Julai, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia baada ya kumuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Camillus Mongoso Wambura tarehe 21 Julai, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa tarehe 01 Agosti, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari tarehe 02 Agosti, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa Zaiara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia nchini Mhe. Haikande Hichilema .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi kuhusu siku ya Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika kitaifa tarehe 23 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kumuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka pamoja na Majaji 21 wa Mahakama Kuu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi tarehe 30 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kizimkazi yaliyofanyika katika uwanja wa Dimbani, Kusini Unguja tarehe 05 Septemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) tarehe 09 Septemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislam katika baraza la Maulid liliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam tarehe 09 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo Bukoba Mkoani Kagera Tarehe 13 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kupokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022
loading
Comments 
Download from Google Play
Download from App Store