HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU, MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA/VIKOSI
Update: 2022-08-30
Description
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi tarehe 30 Agosti, 2022
Comments
In Channel



