EBM SWAHILI

Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa. Ernest B. Makulilo Missouri, USA

ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY

Norway ni moja ya nchi ambazo zina mfumo wa ELIMU BURE, hakuna kulipa ada kwa mwanafunzi yoyote yule anayesoma katika chuo kikuu cha umma (Public University). Kama unataka kusoma ughaibuni, Norway ni moja ya nchi za kuzingatia, ambapo wewe kama mwanafunzi utajigharamia maisha yako tu (living expenses)

07-01
26:37

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 5)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

06-26
26:26

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 4)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

06-25
39:48

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 3)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

06-25
45:38

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 2)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

06-25
47:29

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 1)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

06-25
42:02

Recommend Channels