ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY
Update: 2021-07-01
Description
Norway ni moja ya nchi ambazo zina mfumo wa ELIMU BURE, hakuna kulipa ada kwa mwanafunzi yoyote yule anayesoma katika chuo kikuu cha umma (Public University).
Kama unataka kusoma ughaibuni, Norway ni moja ya nchi za kuzingatia, ambapo wewe kama mwanafunzi utajigharamia maisha yako tu (living expenses)
Comments
In Channel










