Ushawahi kusikia kuhusu visu vya Damascus? Ingawa unaweza kusikiliza kama Podcast, ila kujionea vizuri na kuelewa tembelea akaunti yetu ya YouTube kuangalia episode hii.
Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X. Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo Usisahau kuungana nasi kupitia: www.twitter.com/teknokona www.instagram.com/teknokona www.facebook.com/teknokona www.instagram.com/techmsaada www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili. www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
Katika toleo la kwanza la Podcast kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu habari na vitu vipya vinavyohusu teknolojia za AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework. Fahamu zaidi kuhusu ChatGPT (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/2AuD4Qy-Jh0 Fahamu historia ya Boston Dynamics (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/9TDFOelZN9c Laptop za Framework - Framework | Framework Laptop 16 pre-orders are now open Usisahau kuungana nasi kupitia: www.twitter.com/teknokona www.instagram.com/teknokona www.facebook.com/teknokona www.instagram.com/techmsaada www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili. www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.