Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable
Update: 2023-07-26
Description
Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu
- Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
- Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
- Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
- Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo
Usisahau kuungana nasi kupitia:
www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.
www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
Comments
In Channel