MTU ASITAKIWE ALIPE CHENYE ANAFAA KULIPA (TAX EVASION): MAMA NGINA KENYATTA.
Update: 2023-02-06
Description
News happening with our locality; Walimu Wakuu Wahamishwa kutokana na kurekodi alama za kuvutia katika mtihani wa KCPE. Watatu wakamatwa na bidhaa za wizi thamana na shilingi milioni 9.5. Wakaazi wa Taru kulalama kwa kudidimia kwa biashara kwa ajili ya kuchimbwa mtaro Mahali pa stendi ya gari za masafa marefu. Wanahabari VIVIAN WETOYI na MARIAM MUNJAL.
Comments
In Channel










