Mission Berlin 11 – Mkahawani

Mission Berlin 11 – Mkahawani

Update: 2009-03-20
Share

Description

Anna anamweleza Paul kuhusu msemo usioleweka, "In der Teilung liegt die Lösung. Folge der Musik!" Paul anatambua hatari iliyopo. Anamshauri Anna kumwendea Mchungaji Markus Kavalier. Je pendekezo lake ni sawa?
Paul anatambua kuwa sauti iliyopo kwenye kikasha cha muziki haipigi mpaka mwisho wake. Kipande fulani kinakosekana. Anna anamwambia kuhusu ujumbe usioeleweka, "In der Teilun liegt die Lösung; folge der Musik!" Paul anampa "die Spieldose" na anamshauri kwenda kumwona Mchungaji Markus Kavalier katika kanisa la Gethsamane. Mchezaji anamwambia Anna kuwa mahali hapo palikuwa eneo la mikutano ya wapinzani wa utawala wa zamani wa Kikomunisti.
Comments 
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mission Berlin 11 – Mkahawani

Mission Berlin 11 – Mkahawani

DW.COM | Deutsche Welle