Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

Update: 2009-03-20
Share

Description

Anna anapowasili mwaka 2006, anamwambia Paul inawabidi kuukwamisha mtambo. Lakini wanahitaji alama ya siri. Anna anaufuata muziki na mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili. Je atamzuia Anna kutimiza lengo lake?
Anna amerejea mwaka 2006 na anamwonyesha Paul ufunguo wenye kutu unaonuiwa kukwamisha mtambo. Hata hivyo mtambo huo unahitaji alama ya siri. Anna anajaribu sauti za muziki DACHFEG. Mwanamke mwenye mavazi mekundu anajitokeza na kumtaka Anna kumpa ufunguo, lakini Anna anautia ufunguo kwenye mtambo na kisha kubonyeza alama ya siri. Je mwanamke mwenye mavazi mekundu atajaribu kuzuia kuharibiwa kwa mtambo? Au atabakia kuwa kumbukumbu, kama mtambo huo ulivyo?
Comments 
00:00
00:00
x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

DW.COM | Deutsche Welle