Mission Berlin 22 – Endelea

Mission Berlin 22 – Endelea

Update: 2009-03-20
Share

Description

Anna anapelekwa mwaka 1989 na anafika katika jiji ambalo lina kizaazaa cha kuanguka Ukuta. Anahitajika kupitia umati mkubwa wa watu ili apate kasha la chuma lililofichwa. Je atafanikiwa?
Anna anapotaka kuondoka kuelekea mwaka 1989, waendesha pikipiki wanajitokeza. Mwanamke mwenye mavazi mekundu analiamuru kundi lake kumsaka Anna. Anamtaka Anna akiwa hai. Anna anaingia kwenye mtambo wa wakati na anarudi mjini Berlin mwaka 1989 wakati jiji hilo limezama kwenye shamrashamra za kuanguka ukuta. Lakini yuko katika lango la Brandenburg ambapo kila mtu anasherehekea. Anna anapaswa kwenda katika barabara ya Bernauer. Kwa dakika 30 zilizobaki, je anaweza kuharakisha kuuvuka umati wa mamilioni ya watu katika jiji hilo ambalo hapo awali lilikuwa limegawanyika?
Comments 
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Mission Berlin 22 – Endelea

Mission Berlin 22 – Endelea

DW.COM | Deutsche Welle