Usingizi - Insomnia
Update: 2023-06-28
Description
Kulala ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanadamu, ikiwa mtu akakosa kulala vizuri inavyoshauriwa na wataalam basi itampelekea matatizo mengi ya kiafya haswa matatizo ya afya ya akili. Kwenye episode hii nimekupa muendelezo wa matatizo unayoweza kuyapata kutokana na kushindwa kulala inavyopaswa.
--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/saikochat/messageSupport the show#Productivity
Comments
In Channel








