YAKOBO APAMBANA NA MUNGU
Update: 2025-05-25
Description
Katika Mwanzo 32:22-32, tunashuhudia Yakobo akikutana na Mungu usiku kucha katika pambano la kiroho na kimwili. Tukio hili linaashiria mabadiliko makubwa maishani mwake—kutoka kuwa mtu wa hila hadi kuwa mtu wa baraka na agano, akapewa jina jipya "Israeli," linalomaanisha "yeye ashindaye pamoja na Mungu." Ujumbe huu unatufundisha kuwa mabadiliko ya kweli huja tunapojinyenyekeza mbele za Mungu, tukikubali mapambano ya ndani yanayoleta utakaso, kusamehewa, na utambulisho mpya wa kiroho.
Comments
In Channel