DiscoverDiscovering Africa Thru' Technology‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi
‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

Update: 2024-03-20
Share

Description

Mary Rusimbi Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Nendiwe Feminist Wellness and Coaching Center


Kutana na Mary Rusimbi Gwiji na Mtaalam wa Jinsia na Bajeti za Jinsia Tanzania, Mmoja wa waanzilishi/Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia
Tanzania(Tanzania Gender Networking Programme) TGNP


Mvumbuzi, Mbunifu, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kwanza wa Mfuko pekee wa Ruzuku kwa wanawake Tanzania – Tanzania Women Fund (Women Fund
Tanzania Trust) mfuko wa kwanza wa Kifeministi wa Kitaifa wa ruzuku wenye ajenda ya kuwekeza katika rasilimali kwa wanawake , wasichana na haki za Watoto Tanzania.


Je unajua Tanzania ilikua nchi ya tatu Afrika katika mafanikio ya kutengeneza bajeti za Kijinsia?


Na ilikuwa imefanikiwa na kwenda kwa kasi kubwa kuongeza usawa wa jinsia kwenye mapendekezo ya katiba mpya pamoja na kuongeza asilimia 50 ya wanawake katika uongozi.


Usawa wa jinsia unawezekana kwa kuendeleza harakati zilizoanzishwa sio kufautilia mipango na malengo ya jumla yanarudisha nyuma maendeleo


 


https://nendiwewellness.com/


https://wftrust.or.tz/


https://tgnp.or.tz/




Follow us on


Twitter: @discoverAfrDATT


Instagram:@discoverAfrDATT


Facebook:discoverAfrDATT


LinkedIn:@discoverAfrDATT


Email: discoveringafricaDATT@gmail.com





















































Comments 
loading
In Channel
loading
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi

Raziah Mwawanga