‘Uwekezaji katika Haki za Binadamu za Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum Hilda Stuart Dadu
Description
Wakili Msomi Hilda Stuart Dadu ni Mratibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (Coalition for Women Human Rights Defenders Tanzania) na Katibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za
Binadamu Africa Mashariki.
Mwanaharakati Mbobezi na Mtetezi wa Haki za Binadamu za Wanawake na Makundi Maalum anaelezea mafanikio
na changamoto katika kuwekeza katika haki za binadamu Tanzania.
Hilda anasistiza umuhimu wa kuwekeza katika sheria na mifumo bora inayoheshimu, linda na kutekeleza
sheria za kuwalinda wanawake watetezi wa haki za binadamu na makundi maalum Tanzania.
Kuimarisha utawala bora na usalama wa raia kuzuia uvunjwaji wa sheria, machafuko,
ukatili wa kijinsia na matabaka yatakayogharimu taifa gharama kubwa.
https://cwhrds.or.tz/
@cwhrdstz
https://web.facebook.com/cwhrdstz
https://www.instagram.com/cwhrdstz/
Follow us on
Twitter: @discoverAfrDATT
Instagram:@discoverAfrDATT
Facebook:discoverAfrDATT
LinkedIn:@discoverAfrDATT
Email: discoveringafricaDATT@gmail.com







