DiscoverJifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN
Jifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN
Claim Ownership

Jifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN

Author: NHK WORLD-JAPAN

Subscribed: 57Played: 579
Share

Description

This podcast will expire on 2023/1/15(JST). Thank you for listening. For more resources, visit our Easy Japanese website: nhk.jp/lesson. Unaweza kuanza kujifunza kwa urahisi sarufi ya msingi na misamiati kwa kusikiliza simulizi za Anna, anayejifunza Kijapani katika chuo kikuu kimoja jijini Tokyo. Shirika pekee la utangazaji la umma nchini Japani NHK, hutoa bure mafunzo haya yanayoaminika kwa huduma ya podcast. nhk.jp/lesson
48 Episodes
Reverse
Usemi wa msingi: Asante kwa yote. / KIOTSUKETE / Namna ya kuboresha Kijapani chako/ Tanakali Sauti: Kicheko
Usemi wa msingi: Ndoto yangu ni kuwa mwalimu wa lugha ya Kijapani. / ___ NI NARIMASU / Namna ya kubadilisha vitenzi na kuwa nomino / Tanakali Sauti: Bila matatizo
Usemi wa msingi: Nimefurahi kuona theluji, kabla ya kurejea nchini kwangu / ___ NO YÔ NI / Umbo la kikamusi + MAE NI / Tanakali Sauti: Theluji
Somo la 45: MORAIMASU

Somo la 45: MORAIMASU

2018-02-2610:00

Usemi wa msingi: Kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa! / MORAIMASU / Tanakali Sauti: Hisia
Usemi wa msingi: Baada ya kula vitamutamu vya Kijapani, unakunywa chai ya kijani. / ___ KAMOSHIREMASEN / Umbo la TE la kitenzi + KARA / Tanakali Sauti: Kufa ganzi
Usemi wa msingi: Unadhani ni kwa nini? / Namna ya kutumia DESHÔ / Tanakali Sauti: Sauti ya jibu sahihi/lisilo sahihi
Somo la 42: ICHIBAN

Somo la 42: ICHIBAN

2018-02-0510:00

Usemi wa msingi: Sijui kipi ni kitamu zaidi? / ICHIBAN / Tanakali Sauti: Njaa
Usemi wa msingi: Nilifurahi kwa kuwa niliweza kwenda kwenye tamasha la chuoni. / Kuelezea uwezekano / Tanakali Sauti: Kwisha kwa uchovu au wasiwasi
Usemi wa msingi: Kichwa kinauma. / Tanakali sauti + SHIMASU / Makundi matatu ya vitenzi / Tanakali Sauti: Kuhisi kuugua
Somo la 39: Dalili

Somo la 39: Dalili

2018-01-1510:00

Usemi wa msingi: Nafikiri una homa. / Dalili / Nafikiri kwamba / Tanakali Sauti: Kukohoa
Usemi wa msingi: Sawa. / Kauli ya heshima / Tanakali Sauti: Kushindwa kusimama, Kuhisi kizunguzungu
Usemi wa msingi: Niliona mlima Fuji, nikala sushi na kadhalika. / ___ WA DÔ DATTA? / Namna ya kuonyesha mifano kwa kutumia TARI / Tanakali Sauti: Uchovu
Usemi wa msingi: Napaswa kusoma. / Misimu / Umbo la NAI la kitenzi + NAKEREBA NARIMASEN / Tanakali Sauti: Upepo
Usemi wa msingi: Naweza kutumia kadi ya kufanyia manunuzi? / The numbers (3) / Umbo la uwezekano la vitenzi / Tanakali Sauti: Sauti za elektroni
Usemi wa msingi: Ni laini na mtamu. / ___ TTE NAN DESU KA / Namna ya kutengeneza vivumishi vya umbo la TE / Tanakali Sauti: Ladha ya chakula
Usemi wa msingi: Anna, nitakupatia. / Tofauti kati ya AGEMASU na KUREMASU / Tanakali Sauti: Tabasamu
Usemi wa msingi: Napenda zaidi futoni. / A TO B TO DOCHIRA GA kivumishi DESU KA / Kauli ya kulinganisha kwa kutumia NO HÔ GA na YORI / Tanakali Sauti: Ulaini
Somo la 31: Namba (2)

Somo la 31: Namba (2)

2017-11-1310:00

Usemi wa msingi: Tayari nina umri wa miaka 82. / Namba (2) / O na GO zinazoonyesha heshima / Tanakali Sauti: Kunywa
Usemi wa msingi: Ningependa kupiga picha zaidi kidogo. / ___ TAI DESU / Tofauti kati ya TARA na TO / Tanakali Sauti: Radi, Kuviringika
Usemi wa msingi: Tukiangalia kwa karibu, unaonekana mkubwa, au siyo? / ___ TO / N DA, kauli unayoitumia kuelezea kitu fulani / Tanakali Sauti: Mvua
loading