Discover
Jifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN
Somo la 35: Umbo la uwezekano la vitenzi

Somo la 35: Umbo la uwezekano la vitenzi
Update: 2017-12-11
Share
Description
Usemi wa msingi: Naweza kutumia kadi ya kufanyia manunuzi? / The numbers (3) / Umbo la uwezekano la vitenzi / Tanakali Sauti: Sauti za elektroni
Comments
In Channel