Discover
Jifunze Kijapani: Masomo ya sarufi | NHK WORLD-JAPAN
Somo la 29: Ikiwa TO inajitokeza baada ya kitenzi

Somo la 29: Ikiwa TO inajitokeza baada ya kitenzi
Update: 2017-10-30
Share
Description
Usemi wa msingi: Tukiangalia kwa karibu, unaonekana mkubwa, au siyo? / ___ TO / N DA, kauli unayoitumia kuelezea kitu fulani / Tanakali Sauti: Mvua
Comments
In Channel