Usemi wa msingi: Asante kwa yote. / KIOTSUKETE / Namna ya kuboresha Kijapani chako/ Tanakali Sauti: Kicheko
Usemi wa msingi: Ndoto yangu ni kuwa mwalimu wa lugha ya Kijapani. / ___ NI NARIMASU / Namna ya kubadilisha vitenzi na kuwa nomino / Tanakali Sauti: Bila matatizo
Usemi wa msingi: Nimefurahi kuona theluji, kabla ya kurejea nchini kwangu / ___ NO YÔ NI / Umbo la kikamusi + MAE NI / Tanakali Sauti: Theluji
Usemi wa msingi: Kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa! / MORAIMASU / Tanakali Sauti: Hisia
Usemi wa msingi: Baada ya kula vitamutamu vya Kijapani, unakunywa chai ya kijani. / ___ KAMOSHIREMASEN / Umbo la TE la kitenzi + KARA / Tanakali Sauti: Kufa ganzi
Usemi wa msingi: Unadhani ni kwa nini? / Namna ya kutumia DESHÔ / Tanakali Sauti: Sauti ya jibu sahihi/lisilo sahihi
Usemi wa msingi: Sijui kipi ni kitamu zaidi? / ICHIBAN / Tanakali Sauti: Njaa
Usemi wa msingi: Nilifurahi kwa kuwa niliweza kwenda kwenye tamasha la chuoni. / Kuelezea uwezekano / Tanakali Sauti: Kwisha kwa uchovu au wasiwasi
Usemi wa msingi: Kichwa kinauma. / Tanakali sauti + SHIMASU / Makundi matatu ya vitenzi / Tanakali Sauti: Kuhisi kuugua
Usemi wa msingi: Nafikiri una homa. / Dalili / Nafikiri kwamba / Tanakali Sauti: Kukohoa
Usemi wa msingi: Sawa. / Kauli ya heshima / Tanakali Sauti: Kushindwa kusimama, Kuhisi kizunguzungu
Usemi wa msingi: Niliona mlima Fuji, nikala sushi na kadhalika. / ___ WA DÔ DATTA? / Namna ya kuonyesha mifano kwa kutumia TARI / Tanakali Sauti: Uchovu
Usemi wa msingi: Napaswa kusoma. / Misimu / Umbo la NAI la kitenzi + NAKEREBA NARIMASEN / Tanakali Sauti: Upepo
Usemi wa msingi: Naweza kutumia kadi ya kufanyia manunuzi? / The numbers (3) / Umbo la uwezekano la vitenzi / Tanakali Sauti: Sauti za elektroni
Usemi wa msingi: Ni laini na mtamu. / ___ TTE NAN DESU KA / Namna ya kutengeneza vivumishi vya umbo la TE / Tanakali Sauti: Ladha ya chakula
Usemi wa msingi: Anna, nitakupatia. / Tofauti kati ya AGEMASU na KUREMASU / Tanakali Sauti: Tabasamu
Usemi wa msingi: Napenda zaidi futoni. / A TO B TO DOCHIRA GA kivumishi DESU KA / Kauli ya kulinganisha kwa kutumia NO HÔ GA na YORI / Tanakali Sauti: Ulaini
Usemi wa msingi: Tayari nina umri wa miaka 82. / Namba (2) / O na GO zinazoonyesha heshima / Tanakali Sauti: Kunywa
Usemi wa msingi: Ningependa kupiga picha zaidi kidogo. / ___ TAI DESU / Tofauti kati ya TARA na TO / Tanakali Sauti: Radi, Kuviringika
Usemi wa msingi: Tukiangalia kwa karibu, unaonekana mkubwa, au siyo? / ___ TO / N DA, kauli unayoitumia kuelezea kitu fulani / Tanakali Sauti: Mvua