DiscoverSBS Swahili - SBS SwahiliAustralia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika
Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika

Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika

Update: 2025-11-25
Share

Description

Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi na utambulisho wa Kiafrika.
Comments 
loading
In Channel
loading
00:00
00:00
1.0x

0.5x

0.8x

1.0x

1.25x

1.5x

2.0x

3.0x

Sleep Timer

Off

End of Episode

5 Minutes

10 Minutes

15 Minutes

30 Minutes

45 Minutes

60 Minutes

120 Minutes

Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika

Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika