Je, unafahamu maana ya sherehe ya kutukuka kwa msalaba?
Update: 2025-10-10
Description
Karibu uungane nami Paschal Patrick, katika kipindi cha Tafakari ya Mama Bikira Maria, Mwezeshaji Askofu Method Kilaini Askofu Msaidizi Mstaafu Jimbo Katoliki Bukoba akitufundisha juu ya Kutukuka kwa Msalaba
L'articolo Je, unafahamu maana ya sherehe ya kutukuka kwa msalaba? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel