Je, unafahamu umuhimu wa Lishe wakati wa Uzee?
Update: 2025-10-10
Description
Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji wa Kindi ni Bi. Nusula Salum Afsa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya Lishe na Chakula Tanzania, akitufundisha juu ya Lishe wakati wa Uzee.
L'articolo Je, unafahamu umuhimu wa Lishe wakati wa Uzee? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel