Mkatoliki je, unaifahamu historia ya Kanisa?
Update: 2025-10-10
Description
Karibu uungane nami Paschal Patrick, katika kipindi cha Historia ya Kanisa, mwezeshaji ni Mhashamu Askofu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Msitaafu Jimbo la Bukoba, akitufundisha Historia juu ya Mapinduzi ya Ufaransa na Kanisa.
L'articolo Mkatoliki je, unaifahamu historia ya Kanisa? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel