Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake.
Update: 2025-08-28
Description
- Karibu uungane nami Joyce Jonatus katika kipindi cha Elimu Jamii, Wawezeshaji ni Dokta Apiov Lwiwa kiongozi THF-Morogoro , Bi.Mary Gilbert Masudi Mratibu wa THF pamoja na Bi. Mariana Consalves kutoka Mfuko wa Hisani wa Kusaidia Mahitaji ya Kibinadamu Tanzania.
L'articolo Fahamu historia ya Tanzania Humanitarian Fund (THF), Mfuko wa Hisani wa kusaidia Mahitaji ya Binadamu Tanzania na utendaji kazi wake. proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel