Fahamu kuhusu utajiri wa pekee ndani ya Kanisa Kuu la Mama Bikira Maria Mkuu.
Update: 2025-08-05
Description
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania anafundisha juu ya heshima kwa Kanisa Kuu la Bikira Maria Mkuu.
Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu kuhusu utajiri wa pekee ndani ya Kanisa Kuu la Mama Bikira Maria Mkuu. proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel