Fahamu vizuri nguvu ya wokovu wetu
Update: 2025-07-29
Description
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera anafundisha juu ya thamani ya wowkovu wetu akiangazia kipengele cha nguvu ya wokovu.
Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu
L'articolo Fahamu vizuri nguvu ya wokovu wetu proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel