Ifahamu fadhila ya msamaha katika Maandiko Matakatifu
Update: 2025-08-06
Description
Msikilizaji mpendwa karibu uungane na Frater Justine Galus Mwanaka, Kutoka Jimbo Katoliki Iringa, Mseminari katika Seminari Kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama ambapo anatufundisha juu ya fadhila ya msamaha, ni kupitia kipindi cha Mbiu ya Heri.
Karibu sana.
L'articolo Ifahamu fadhila ya msamaha katika Maandiko Matakatifu proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel