Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu?
Update: 2025-08-11
Description
Karibu katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini , Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, ambapo ameendelea kujibu maswali mbalimbali yaliyoilizwa na msikilizaji.
Mtangazaji ni Patrick Pascal Tibanga – Radio Mbiu
L'articolo Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu? proviene da Radio Maria.
Comments
In Channel